Uongozi wa Mfuko wa Pembejeo unawatangazia wateja wake na wadau kuwa Ofisi zake zimehama kutoka Area D, Mtaa wa Mtawa na kuhamia Mji wa Serikali-Mtumba.