Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Pembejeo (AGITF) anapenda kuwatangazia Watumishi wanaotaka kuhamia Mfuko wa Pembejeo kuwa nafasi ziko wazi kwa kada mbalimbali kama zinavyoonekana kwenye tangazo.
NB: Waombaji wote watume maombi yao kupitia anuani ya Mfuko wa Pembejeo na sio kwenye mfumo wa e-UHAMISHO (Watumishi Portal)
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 06 Disemba, 2024.